Thursday, September 30, 2010

MOROGORO NA WAGOMBEA WA CCM 2010 ISIPOKUWA CELINA KOMBANI AMBAYE NI MTEULE .......


2010-2015 MOROGORO NA CCM

WADAU WA MKOA WA MOROGORO WOTE, HAWA NDIO WADAU WENZETU KUPITIA CCM 2010.......,
NI IMANI YANGU CHADEMA, CUF NA PENGINE NCCR WATATUPATIA SURA ZINGINE ZA KULINGANISHA NA HAWA JAMAA.
NI KAMA IFUATAVYO
Ndugu Aziz Mohamed ABOOD-51
Sekondari
MOROGORO MJINI
MOROGORO
Dr. Lucy Sawere NKYA-58
Chuo Kikuu
MOROGORO MASHARIKI
MOROGORO
Ndugu Innocent KALOGERIS -51
Sekondari
MOROGORO KUSINI
MOROGORO
Ndugu Amos Gabriel MAKALA-39
Chuo Kikuu
MVOMERO
MOROGORO
Ndugu Celina Ompeshi KOMBANI-51
Chuo Kikuu
ULANGA MASHARIKI
MOROGORO
Ndugu Shabiby Ahmed MABUKHUT-43
Sekondari
GAIRO
MOROGORO
Ndugu Mustafa Haidi MKULO -64
Chuo Kikuu
KILOSA
MOROGORO
Ndugu Abdulsalaam uleiman SAS -47
Sekondari
MIKUMI
MOROGORO
Ndugu Hadji Husein MPONDA -52
Chuo Kikuu
ULANGA MAGHARIBI
MOROGORO
Ndugu Abdul Rajabu MTEKETA-59
Sekondari
KILOMBERO
MOROGORO
KATIKA SAFARI YA KWELI YA KUJILETEA MAENDELEO DAIMA TUNATAWALIWA NA PRINCIPAL MOJA"TWENDE PAMOJA"
Norbert Amelika Nongwa
Balozi wa Amani

No comments:

Post a Comment