NDUGU WANA MALINYI TUNAWAALIKA KWENYE MKUTANO WA MALINYI DEVELOPMENT CONCERN KTK UKUMBI WA MAMALAND HOTEL -EXTERNAL UBUNGO KUANZIA SAA KUMI KAMILI JIONI SIKU YA JUMAPILI YA TAREHE 02-10-2010.
TUNAWAOMBA MJITOKEZE KWA WINGI ILI TUJADILI MAAZIMIO YA KIKAO KILICHOPITA.
WASALAAM
MTENDAJI WA MALINYI DEVELOPMENT CONCERN
Thursday, September 30, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment